Language 

Updates  | Medjugorje[EN]  | Messages  | News & Articles[EN]  | Videos[EN]  | Pictures & Photos[EN] | Site Map  | About[EN]

www.medjugorje.ws » Text version » Our Lady of Medjugorje Messages » Ujumbe, 25 Novemba 2025

Ujumbe, 25 Novemba 2025


Wanangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema, ninawaalika mnifuate. Waombeeni wale ambao hawaombi na hawatamani amani na furaha ambayo ni Aliye Juu pekee anayeweza kutoa. Nafsi zenu ziungane katika furaha ya kusubiri, na mioyo yenu itajazwa amani. Mtasadikishwa, watoto wadogo, kwamba yote yatakuwa sawa na kwamba Mungu atabariki kila kitu, kwa sababu mema mtakayofanya yatawarudieni, na mioyo yenu itajazwa furaha kwa sababu mko pamoja na Mungu na ndani ya Mungu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.

To compare Medjugorje messages with another language versions choose

 

PC version: This page | Medjugorje | Apparitions[EN]  | Our Lady of Medjugorje Messages  | Medjugorje News & Articles[EN]  | Pictures & Photos[EN]  | Medjugorje Videos[EN]