Language 
Wanangu wapendwa! Katika wakati huu, mnapoadhimisha Siku ya Watakatifu Wote, waombeni maombezi na sala zao, ili kwa ushirika nao, mtapata amani. Watakatifu wawe waombezi kwenu na mifano ya kuigwa katika kuishi maisha matakatifu. Mimi nipo pamoja nanyi na ninawaombea kwa Mungu kwa kila mmoja wenu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.

25 Septemba 2024 [O] (Monthly)
25 Novemba 2024 [O] (Monthly)
 
To compare Medjugorje messages with another language versions choose