Ujumbe, 25 Februari 2024
Other languages:
English,
العربية,
Беларуская,
Čeština,
Deutsch,
Español,
Français,
Hrvatski,
Italiano,
Kiswahili,
Magyar,
Nederlands,
Polski,
Português,
Русский,
Slovenčina,
Slovenščina,
Suomi,
Tiếng Việt,
Українська
“Wanangu wapendwa! Salini na mfanye upya moyo wenu ili lile jema mlilopanda lizae matunda ya furaha na ushirika na Mungu. Magugu yamechukua mioyo mingi na imekuwa tasa. Kwa hiyo ninyi, wanangu, muwe mwanga, upendo na mikono yangu iliyonyoshwa katika ulimwengu huu unaomtamani Mungu ambaye ni upendo. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose