Ujumbe, 25 Desemba 2017
Other languages:
English,
العربية,
Беларуская,
Čeština,
Deutsch,
Español,
Français,
Hrvatski,
Italiano,
Kiswahili,
Latviešu,
Magyar,
Nederlands,
Polski,
Português,
Română,
Русский,
Slovenčina,
Slovenščina,
Suomi,
Tiếng Việt,
Українська
“Wanangu wapendwa! Leo ninawaletea Mwanangu Yesu, ili awajalieni amani Yake na baraka Yake. Wanangu wapendwa, ninawaalika ninyi nyote kuishi na kushuhudia neema na zawadi mlizozipokea. Msiogope!Salini ili Roho Mtakatifu awapeni nguvu ya kuwa mashahidi wenye furaha na watu wa amani na matumaini. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose